Hit 'Em Up
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Hit 'Em Up" ni wimbo wa kunangana uliotungwa na Tupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap la Outlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U Want It". Wimbo una hoja za matusi dhidi ya marapa kadhaa wa East Coast hip hop, adui mkubwa na rafiki yake wa zamani Tupac Shakur, The Notorious B.I.G.. "Hit 'Em Up" ulitayarishwa na mshirika wa kitambo wa Tupac Johnny J na amechukua sampuli ya wimbo wa "Don't Look Any Further" wa Dennis Edwards.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads