How Do U Want It

From Wikipedia, the free encyclopedia

How Do U Want It
Remove ads

"How Do U Want It" ni wimbo wa 2Pac akishirikiana na K-Ci na JoJo na ulikuwa single ya tatu kutoka albamu ya All Eyez on Me. Ilikuwa Double A-side single kwenye "California Love", na wimbo umefikia nafasi ya #1 nchini Marekani kwenye chati za Billboard Hot 100 mnamo 1996. Nchini Uingereza, wimbo umefikia nafasi ya #17.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Imechukua sampuli ya Quincy Jones "Body Heat" kutoka katika albamu ayke ya mwaka wa 1974, Body Heat

Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. How Do U Want It (LP Version)
  2. California Love (Long Radio Edit)
  3. 2 of Amerikaz Most Wanted (LP Version)
  4. Hit 'Em Up

Nafasi ya chati

Maelezo zaidi Chati (1996), Nafasi iliyoshika ...

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads