Greatest Hits (2Pac)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Greatest Hits ni toleo la diski pamoja la albamu za vibao vikali vya rapa marehemu 2Pac, ilitolewa na Death Row Records mnamo mwaka wa 1998. Albamu hii haipo katika mfululizo wa matoleo ya albamu za muziki wa 2Pac; vibao 21 maarufu, baadhi zilihaririwa kwa sababu za kisheria, ikiwa imeongozana na nyimbo nyingine nne ambazo awali hazikutolewa: "God Bless the Dead", "Unconditional Love", "Troublesome '96", na "Changes" ambayo baadaye imekuja kuwa moja kati ya nyimbo za 2Pac zenye-kujulikana sana na sana. Albamu ilitunukiwa 9x Platinum. Baadhi ya nyimbo ni maremixi ambayo awali hayakutolewa na matoleo ya tepu.
“God Bless the Dead” (akishirikiana na Stretch of Live Squad) inaanza na Tupac anasema, "rest in peace to my motherfucker Biggy Smallz." Hii ni makosa yalifirikiwa kwamba ni The Notorious B.I.G. au labda mtayarishaji Big D The Impossible (Deon Evans). Ilikuja kujulikana hapo baadaye kwamba ni raifiki wa Stretch aliyeitwa Drik ambaye aliuawa. [1]
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Disc 1:
- "Keep Ya Head Up" – 4:24
- "2 of Amerikaz Most Wanted" (akishirikiana na: Snoop Doggy Dogg) – 4:07
- "Temptations" – 5:02
- "God Bless the Dead" (akishirikiana na: Stretch) – 4:22 - (awali haijatolewa)
- "Hail Mary" (akishirikiana na: Outlawz, Prince Ital Joe) – 5:12
- "Me Against the World" (akishirikiana na: Dramacydal) – 4:39
- "How Do U Want It?" (akishirikiana na: K-Ci na JoJo) – 4:48
- "So Many Tears" – 3:58
- "Unconditional Love" – 3:59 - (awali haijtolewa)
- "Trapped" – 4:45 (Some lyrics are censored from the original album version)
- "Life Goes On" – 5:02
- "Hit 'Em Up" (akishirikiana na: Outlawz) – 5:12
Disc 2:
- "Troublesome '96" – 4:36 - (awali haijtolewa)
- "Brenda's Got a Baby" – 3:54
- "I Ain't Mad at Cha" (akishirikiana na: Danny Boy) – 4:56
- "I Get Around" (akishirikiana na: Digital Underground) – 4:54
- "Changes" (akishirikiana na: Talent) – 4:29 - (awali haijtolewa)
- "California Love (Toleo Halisi)" (akishirikiana na: Dr. Dre, Roger Troutman) – 4:45
- "Picture Me Rollin'" (akishirikiana na: Danny Boy, CPO, Big Syke) – 5:15
- "How Long Will They Mourn Me?" (with Thug Life akishirikiana na: Nate Dogg) – 3:52
- "Toss It Up" (akishirikiana na: K-Ci na JoJo, Danny Boy, Aaron Hall) – 4:43 (A new mix with some altered lyrics)
- "Dear Mama" – 4:40
- "All About U" (akishirikiana na: Nate Dogg, Top Dogg, Outlawz) – 4:33 (Imebadilishwa kutoka katika toleo halisi la albamu)
- "To Live & Die in L.A." (akishirikiana na: Val Young) – 4:33
- "Heartz of Men" – 4:41
Remove ads
Nafasi za chati za albamu
Single za albamu
Sampuli za Baadaye
- "Changes"
- "Black President" ya Nas kutoka katika albamu ya Untitled
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads