I'm Bad
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"I'm Bad" (pia huandikwa I'm BAD) ni single ya kwanza kutoka katika albamu ya pili ya LL Cool J, Bigger and Deffer. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1987 kupitia studio za Def Jam Recordings na ilitayarishwa na kundi la watayarishaji The L.A. Posse na LL Cool J mwenyewe, na Russell Simmons akiwa kama mtayarishaji mkuu wa single. I'm Bad imefanya chati kadhaa katika Billboard Charts, ikiwa pamoja na 84 kwenye Billboard Hot 100, 4 kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs, 23 kwenye Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales, 34 kwenye Hot Dance Music/Club Play na 7 kwenye UK Singles Chart. Single hii ilifuatiwa na "I Need Love" na "Go Cut Creator Go".
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- The Bigger Side
- "I'm Bad"- 4:39
- The Deffer Side
- "Get Down"- 3:23
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads