Bigger and Deffer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bigger and Deffer (pia huitwa BAD au Bigger And Deffer) ni jina la albamu ya pili ya rapa LL Cool J ambayo inakumbukwa sana kwa kuwa na "rap ballad" iliyofanikiwa zaidi kibiashara, "I Need Love". Albamu pia imejumlisha single kali ya "Go Cut Creator Go", ambayo imetoa heshima kwa DJ wake, na single ilioyofanya vizuri huko nchini Uingereza "I'm Bad". Mnamo 1998, albamu ilichaguliwa kuwa kama moja kati ya Albamu Bora 100 za Rap za The Source, ambapo pia ilijipatia tahakiki mchanganyiko kibao kutoka kwa wengine. Picha ya kava ya mbele ya albamu ilipigwa mbele ya shule aliyokuwa akisoma LL Cool J, Andrew Jackson High School huko mjini Queens,[1]
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Nyimbo zote zimetungwa na Simon/Ervin/Pierce/Smith, kasoro hizo zilizowekewa maelezo.
- "I'm Bad" – 4:39
- "Kanday" – 3:59
- "Get Down" – 3:23
- "The Bristol Hotel" – 2:43
- "My Rhyme Ain't Done" – 3:45
- ".357 - Break It on Down" (Ervin/Jordan/Pierce/Simon/Smith) – 4:05
- "Go Cut Creator Go" – 3:57
- "The Breakthrough" – 4:04
- "I Need Love" (Ervin/Ettenger/Simon/Smith) – 5:23
- "Ahh, Let's Get Ill" – 3:45
- "The Do Wop" – 4:59
- "On the Ill Tip" – :31
Remove ads
Chati
Albamu
Single
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads