Ibrahim El-Gohary
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ibrahim El-Gohary (alifariki 31 Mei 1795) alikuwa Waziri Mkuu wa Misri katika karne ya 18. Alipendwa sana na Wakopti wenzake na wananchi kwa jumla[1].
Alijitahidi sana kujenga na kukarabati makanisa na monasteri[2].
Anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads