Ilidi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ilidi (kwa Kifaransa: Alyre; alifariki 384 hivi) alikuwa askofu wa 4 wa Clermont-Ferrand [1].

Thumb
Mt. Ilidi katika dirisha la kioo cha rangi.

Kaisari wa Dola la Roma Magharibi alimuita Trier ili kutoa pepo katika binti yake; wakati wa kurudi alifariki njiani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads