Innocent Sebba Bilakwate
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Innocent Sebba Bilakwate (amezaliwa 13 Septemba 1973) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Innocent Sebba Bilakwate amezaliwa kata ya Rutunguru, wilaya ya Kyerwa ambayo hapo enzi ilikuwa katika kata ya Kaisho. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kyerwa kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads