Iskirioni na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Iskirioni na wenzake watano (walifia dini Asiut, Misri, 249 hivi) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius .
Mwenyewe alikuwa jemadari, wenzake askari wa kawaida chini yake. Waliuawa kwa namna mbalimbali kadiri ya amri ya mtawala Ariani kwa sababu ya imani yao ya Kikristo[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads