Ismidoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ismidoni (Sassenage, Grenoble, leo nchini Ufaransa - 28 Septemba, 1115) alikuwa askofu wa Die, karibu na Lyon, tangu mwaka 1097 hadi kifo chake.
Akisukumwa na pendo kwa Nchi takatifu, alihiji Yerusalemu mara mbili [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo tarehe 9 Desemba 1903.
Sikukuu yake ni tarehe 30 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads