Jaku Hashim Ayoub
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jaku Hashim Ayoub ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Ameingia katika bunge la Tanzania kama mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads