Jam

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jam
Remove ads

"Jam" ni wimbo wa Michael Jackson kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Single hii ilikuja kutolewa tena upya kunako mwaka wa 2006 ikiwa kama moja ya sehemu ya mkusanyiko wa Jackson, Visionary: The Video Singles. "Jam" ni mchanganyiko wa funk ngumu na ya fujo, dance na rap, au funk hip hop. Kile kipande kidogo cha rap cha muziki huu kilifanywa na Heavy D (wa kundi la muziki wa hip hop na rap Heavy D & the Boyz).

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Muziki wa video wa wimbo huu umemuuzisha sura mchezaji wa zamani wa NBA, Michael Jordan. Wimbo pia unaonyesha timu ya mpira wa kikakpu ya Chicago Bulls'—timu ya Jordan kitambo hicho cha—1992 inaonyesha video ya Mabingwa wa NBA "Untouchabulls". Wimbo huu pia ulitumika kama ndiyo wimbo kifunguzi katika ziara yake ya Dangerous World Tour. Wimbo huu pia ulipata kuingia tena kwenye chati za UK kwa mwaka wa 2006, kwa kushika nafasi ya 22.[2]

Remove ads

Muziki wa Video

Muziki wa video wa "Jam" umechukua nafasi ukiwa ndani ya kisehemu cha kuchezea mpira wa kikapu, mahala ambapo anaonekana Jackson anamfundisha mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu Michael Jordan jinsi ya kucheza, na kwa rejesho, Jordan anamfundisha Jackson namna ya kucheza mpira wa kikapu. Kionjo kikali zaidi katika wimbo huu ni pale Jackson aliporusha mpira wa kikapu kutoka upande wmingine na kuelekea upande wa pili kwa kupitia kidirishani na kwenda kuingia kwenye kifuko cha kuingizia mpira ule ukitaka kufunga (nyavuni). Vilevile Jackson akishinda kwa kupia mpira ule kwa kutumia kisigino chake kwa nyuma. Mwishoni mwa video anaonekana Jackson anamfundisha Jordan namna ya kucheza kivitendo staili na maujanja ya moonwalk.[3] Wengineo waliouza sura ndani ya video hii ni pamjoa na kundi la rap wawili Kris Kross, na Heavy D kama jinsi alivyopasuka katika kipande kidogo cha rap cha wimbo huu.

Remove ads

Orodha ya Nyimbo

Toleo Halisi

Single za UK

  1. "Jam" (7" edit) – 4:05
  2. "Jam" (Roger's Jeep mix) – 5:54
  3. "Jam" (Atlanta Techno mix) – 6:06
  4. "Wanna Be Startin' Somethin'" (Brothers in Rhythm House mix) – 7:40

Chati

Maelezo zaidi Chati (1992), Nafasi Iliyoshika ...

Mamixi Rasmi

  • Album Version - 5:39
  • 7" Edit - 4:03
    • Without Rap - 3:52
  • Radio Edit - 5:00
    • Without Rap - 4:44
  • MJ's Raw Mix - 4:34
  • The Acappella Mix - 4:54
  • Percapella - 5:32
  • The Video Mix - 5:37
Mamixi ya Teddy Riley
  • Teddy's 12" Mix - 5:43
  • Teddy's Jam - 5:44 - tofauti na ya juu
Mamixi ya Roger Sanchez
  • Roger's Club Mix - 6:18
  • Roger's Club Dub - 6:14
  • Roger's Club Radio Mix - 3:51
  • Roger's Jeep Mix - 6:03
  • Roger's Jeep Radio Mix - 3:57
  • Roger's Underground Mix - 6:08
  • Roger's Slam Jam Mix - 4:54
Mamixi ya Steve Hurley
  • Silky 7" - 4:17
  • Silky 12" - 6:27
  • Silky Dub - 4:33
Mamixi Mengineyo
  • Atlanta Techno Mix - 6:08
  • Atlanta Techno Dub - 5:16
  • More Than Enuff Mix - 5:58
  • More Than Enuff Dub - 5:54
  • E-Smoove's Jazzy Jam - 6:47
  • Maurice's Jammin' Dub - 7:17
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads