Who Is It
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Who Is It" ni wombo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu, upo kama nyimbo zingine maarufu za Jackson, kuhusu fununu. Wimbo kumeshika nafasi ya #6 kwenye chati za U.S. R&B, na #14 kwenye chati za Billboard Hot 100 pale ilipotolewa. Wimbo huu Michael Jackson aliimba acappella (maneno bila vyombo vya muziki/biti/ala za muziki) wakati mahojiano ya mwaka wa 1993 na Oprah Winfrey, na ikapelekea Sony kutoa kama single kwa Marekani badala ya ile iliopangwa "Give In to Me".
Remove ads
Orodha ya Nyimbo
Single za UK
- "Who Is It" (The Most Patient Mix) – 7:44
- "Who Is It" (IHS Mix) – 7:58
- "Don't Stop 'Til You Get Enough" (Roger's Underground solution mix) – 6:22
7" Single za UK
- "Who Is It" (Single Edit)
- "Rock With You" (Master's At Work Remix)
Single za U.S.
- "Who Is It" (Oprah Winfrey Special Intro) – 4:00
- "Who Is It" (Patience Edit) – 4:01
- "Who Is It" (House 7") – 3:55
- "Who Is It" (Brothers in Rhythm House Mix) – 7:13
- "Beat It" (Moby's Sub Mix) – 6:11
Remove ads
Chati
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads