Jerio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jerio (pia: Gérard, Géri, Gerius, Gerio, Girio, Roger; Lunel, leo nchini Ufaransa, 1275 hivi - Potenza Picena, Macerata, Italia, 1298) alikuwa mkaapweke kutoka ukoo wa makabaila ambaye alifariki wakati wa kutaka kuhiji Yerusalemu [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Benedikto XIV alithibitisha heshima hiyo tarehe 1 Agosti 1742.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
