Jermana Cousin

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jermana Cousin
Remove ads

Jermana Cousin (kwa Kifaransa: Germaine; Pibrac, Toulouse, Ufaransa wa leo, 1579 - Pibrac, 3 Januari 1601) alikuwa bikira asiye na wazazi wa kujulikana, fukara tena mgonjwa[1] aliyevumilia kwa imani ya kishujaa na hata furaha mateso yote yaliyompata [2].

Thumb
Mt. Jermana alivyochorwa na Jean-Auguste-Dominique Ingres mwaka 1856.

Papa Pius IX aimtangaza mwenye heri tarehe 29 Mei 1854 halafu mtakatifu tarehe 29 Juni 1867.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads