John Woo

From Wikipedia, the free encyclopedia

John Woo
Remove ads

John Woo (alizaliwa Guangzhou, China, 22 Septemba 1946) ni muongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Hong Kong, alipohamia pamoja na wazazi wake akiwa na umri mdogo.

Ukweli wa haraka John Woo ...

Tangu 1974 aliongoza filamu huko Hong Kong kama vile "A Better Tomorrow", "The Killer" na "Hard-Boiled".

Mwaka 1993 akahamia Hollywood (Marekani) alipoendelea kuongoza filamu zilizokuwa maarufu kama vile "Hard Target", "Broken Arrow", "Face/Off", "Mission: Impossible II", "Windtalkers" na "Paycheck".

Remove ads

Filamu alizoongoza

  • Fist to Fist (1973)
  • The Young Dragons (1974)
  • The Dragon Tamers (1974)
  • Hand of Death (1975)
  • Princess Chang Ping (1975)
  • From Riches to Rags (1977)
  • Money Crazy (1977)
  • Follow the Star (1978)
  • Last Hurrah for Chivalry (1978)
  • Hello, Late Homecomers (1978)
  • To Hell with the Devil (film)|To Hell with the Devil (1981)
  • Laughing Times (1981)
  • Plain Jane to the Rescue (1982)
  • When You Need a Friend (1984)
  • Run, Tiger, Run (1985)
  • Heroes Shed No Tears (1986)
  • A Better Tomorrow (1986)
  • A Better Tomorrow II (1987)
  • Tragic Heroes (1989)
  • The Killer (film)|The Killer (1989)
  • A Better Tomorrow 3|A Better Tomorrow: Love & Death in Saigon
  • Bullet in the Head (1990)
  • Once a Thief (1991 film)|Once a Thief (1991)
  • Hard Boiled (1992)
  • Hard Target (1993)
  • Broken Arrow (1996 film)|Broken Arrow (1996)
  • Once a Thief (1996 film)|Once a Thief (1996)
  • Face/Off (1997)
  • Blackjack (film)|Blackjack (1998)
  • Mission: Impossible II (2000)
  • Windtalkers (2001)
  • Paycheck (film)|Paycheck (2003)
  • All the Invisible Children (film)|All the Invisible Children (2005)
  • The Battle of Red Cliff (film)|The Battle of Red Cliff (Itatoka Mwakani - 2008)
Remove ads

Shughuli nyingine

  • Hostage (Filamu Fupi ya BMW) (2002)
  • Stranglehold (video game) (2007)
  • Appleseed Ex Machina (2007)

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads