Johnny Cash
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Johnny Cash (jina la kuzaliwa: J. R. Cash; 26 Februari 1932 – 12 Septemba 2003) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Huyu anatazamiwa kama miongoni wa wanamuziki wenye athira kubwa katika medani ya muziki kwa muda wote. Hasa alifanya muziki wa country, nyimbo zake zikipigwa husika kuchanganya aina nyingi za muziki wa kama vile rockabilly na rock and roll (ususani wakati anaaza shughuli hizi), vilevile blues, folk na injili..
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads