Arkansas
jimbo la Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arkansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,855,390 (2007) wanaokalia eneo la 137,002 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Missouri, Tennessee, Mississippi, Louisiana, Texas na Oklahoma. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Little Rock (jabali mdogo).


Remove ads
Viungo vya Nje
- (Kiingereza) State of Arkansas tovuti rasmi
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arkansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads