Jongoo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Remove ads
Majongoo ni aina za arithropodi wembamba na warefu katika ngeli Diplopoda ya nusufaila Myriapoda wenye miguu mingi. Wanafanana kijuujuu na tandu lakini hawa huenda mbio na hula wanyama wengine (invertebrati na vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu.
Hata kama kwa Kiingereza majongoo huitwa millipedes (miguu elfu) na tandu huitwa centipedes (miguu mia), kwa ukweli wana idadi karibu sawa ya miguu: tandu wana miguu 16 hadi 300 na majongoo 36 hadi 750.
Remove ads
Spishi kadhaa za Afrika
- Archispirostreptus gigas, Jongoo Panda (Giant African millipede)
- Kylindotherium leve, Jongoo-tufe wa Witrivier
- Phryssonotus brevicapensis, Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
- Sphaerotherium giganteum, Jongoo-tufe Kusi
- Spirostreptus seychellarum, Jongoo Panda wa Shelisheli
Picha
- Jongoo panda
- Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
- Jongoo panda wa Shelisheli
- Majongoo wakijamiiana
![]() |
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jongoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads