Juma Othman Hija
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Juma Othman Hija (amezaliwa 9 Julai 1956) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tumbatu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads