Just Like You
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Just Like You ni albamu ya pili ya mwanamuziki aitwaye Keyshia Cole. Mwanzowe, ilitolewa mnamo 8 Julai 2007, kisha tarehe ikapelekwa mbele hadi 7 Agosti 2007, na hatimaye ikatolewa 25 Septemba 2007. Albamu hii ilichaguliwa kama Best Contemporary R&B Album kwenye tuzo ya 50th Annual Grammy Awards lakini ilishindwa na albamu ya Ne-Yo inayoitwa Because of You. Mnamo Desemba 2007, albamu hii ilithibitishwa platinum.
Wasanii walioshiriki naye ni kama Missy Elliott, Lil Kim, Too $hort, Amina, Anthony Hamilton, Young Dro, T.I., Chink Santana & Piper.
Remove ads
Matokeo
Just Like You ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na ikauza nakala 281,419 kwenye wiki yake ya kwanza, zaidi ya mara nne ya mauzo ya albamu iliyopita kwenye wiki ya kwanza.[1] Mnamo 17 Januari 2009, albamu ya Just Like You iliuza takriban nakala 1,584,014 nchini Marekani.
Mnamo 27 Novemba 2008, albamu hii ilitolewa nchini Australia na ikaitwa Just Like You (International Deluxe Version). Toleo hili ni mchanganyiko wa albamu ya Just Like You na The Way It Is na pia inahusisha ushirikiano wa Keyshia pamoja nawasanii kama P. Diddy na Sean Paul. Ina nyimbo 16, na kasha lake ni tofauti na toleo la awali. Mnamo 9 Mei 2008, toleo hili jipya ilitolewa nchini Ujerumani, Austria na Uswizi.ref name="international release">"Diskografie Keyshia Cole Alben". KeyshiaCole.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-27. Iliwekwa mnamo 2008-05-08.</ref>
Remove ads
Nyimbo zake
Toleo la Uingereza
Toleo la Kimataifa
Source: Amazon.com[2]
- Let It Go (feat. Missy Elliott & Lil Kim)
- Last Night (feat. Diddy)
- When You Gonna Give It Up To Me (Sean Paul feat. Keyshia Cole)
- Love
- Fallin' Out
- Was It Worth It?
- I Changed My Mind
- I Remember
- I Should Have Cheated
- Heaven Sent
- You've Changed
- Situations (feat. Chink Santana)
- Shoulda Let You Go (feat. Amina)
- Give Me More
- Let It Go (feat. Piper)
- Love, I Thought You Had My Back
Remove ads
Chati na thibitisho
Sampuli
- "Let It Go" samples "Juicy Fruit" by James Mtume
- "Got To Get My Heart Back" contains experts from "She's Only A Woman" by The O'Jays
- "Losing You" excerpts from “Sorry” by Natalie Cole
- "Just like You" is used as the theme song to Keyshia Cole: The Way It Is seasons 2 and 3
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads