Justino Maria Russolillo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Justino Maria Russolillo (Napoli, Italia, 18 Januari 1891 – Napoli, 2 Agosti 1955) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika mawili ya kitawa kwa ajili ya miito mitakatifu, moja la kiume na lingine la kike[1][2] [3].

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Mei 2011[5] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads