Kakamega
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kakamega ni mji ulio makao makuu ya kaunti ya Kakamega nchini Kenya.

Wakazi walikuwa 91,768 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wenyeji ni hasa Waluhya.
Kakamega iko takriban kilomita 100 kaskazini kwa Kisumu.
Tangu mwaka 2006 chuo cha ufundi Kakamega kilipandishwa cheo kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads