Kalimeri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kalimeri (alifariki 280) alikuwa askofu wa nne wa Milano, Italia Kaskazini kuanzia mwaka 270 hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads