Kameliano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kameliano (kwa Kifaransa: Camélien; karne ya 5 - Troyes, leo nchini Ufaransa, 536 hivi) alikuwa askofu wa 9 wa mji huo kuanzia mwaka 479, baada ya mlezi wake Lupo wa Troyes [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads