Kapsowar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kapsowar ni mji wa Kenya magharibi katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Ni kata ya kaunti ya Elgeyo-Marakwet, eneo bunge la Marakwet Magharibi[1].

Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads