Kaunti ya Elgeyo-Marakwet

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaunti ya Elgeyo-Marakwet
Remove ads

Kaunti ya Elgeyo-Marakwet ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Thumb
Ramani ya Kaunti ya Elgeyo-Marakwet,Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 454,480 katika eneo la km2 3,032, msongamano ukiwa hivyo wa watu 150 kwa kilometa mraba[1].

Wakimbiaji wengi mashuhuri hutoka Marakwet ni pamoja na Moses Kiptanui, Evans Rutto, Reuben Kosgei, Ezekiel Kemboi, Brigid Kosgei, Ishmael Kirui, Timothy Kitum, Sally Kirui, Abraham Chebii na Richard Chelimo. Shaif Shaheen aliyejulikana mwanzoni kama Stephen Cherono wa Qatar, Edna Kiplagat wa Uholanzi, Geoffrey Kamworor na Raymond Yator wanatoka upande wa Keiyo.

Makao makuu yako Iten.

Remove ads

Utawala

Kaunti ya Elgeyo-Marakwet ina maeneo bunge yafuatayo:

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2]

  • Keiyo North 99,176
  • Keiyo South 120,750
  • Marakwet East 97,041
  • Marakwet West 137,513

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads