Karpati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1,000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia, (km 1,700).

Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki (3%) kupita Slovakia (17%), Polandi (10%), Hungaria (4%) na Ukraine (11%), hadi Romania (51%). [1][2][3][4] Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Polandi, ambapo vilele vinazidi mita 2,600 juu ya usawa wa bahari.




Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads