Kastrisiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kastrisiani (alifariki karne ya 3) alikuwa askofu wa tatu wa Milano, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads