Kentigerno
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kentigerno (pia: Cyndeyrn, Mungo, Cantigernus na Kentigern Garthwys; Fife, 518 – Glasgow, 13 Januari 614) alikuwa askofu mmisionari na abati huko Glasgow, Uskoti, ambaye inasemekana alianzisha jumuia kubwa ya kimonaki kwa kufuata mfano wa Kanisa mama la Yerusalemu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads