Ketura
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ketura (kwa Kiebrania: קְטוּרָה, Qəṭūrā, yaani labda Uvumba[1]) alikuwa mke au suria mwingine ya Abrahamu aliyemzalia watoto sita wa kiume: Zimrani, Jokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua kadiri ya Mwa 25:1-4 na 1 Nya 1:32 [2]. Habari zake zinasimuliwa kidogo tu kabla ya zile za kifo cha Abrahamu.

Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads