Kibisi

Familia ya ndege wa maji wanaozama From Wikipedia, the free encyclopedia

Kibisi
Remove ads

Vibisi ni ndege wa maji wa familia ya Podicipedidae. Domo lao jembamba kuliko mabata lina ncha kali. Vibisi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga tago lao kwa matete linaloelea juu ya maji na hulifungia tete au mmea mwingine wa maji. Jike huyataga mayai 2-7. Kwa kawaida makinda wana milia na mara nyingi hubebwa mgongoni kwa mzazi.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads