Kidenenda

Ndege wadogo wa jenasi Cisticola na Incana, familia Cisticolidae From Wikipedia, the free encyclopedia

Kidenenda
Remove ads

Videnenda ni ndege wadogo wa jenasi Cisticola na Incana katika familia Cisticolidae. Chimbuko la jenasi lipo Afrika lakini spishi kadhaa zinatokea Ulaya na Asia pia, spishi moja hata mpaka Australia. Ndege hawa hupatikana kwa maeneo wazi, k.m. savana, jangwa, mbuga na mabwawa. Rangi yao kuu ni kahawia mara nyingi pamoja na michirizi mizito na pengine nyekundu au njano. Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito; mara nyingi tago limefunika na manyasi yaliyofumika. Jike huyataga mayai 3-5.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi

Remove ads

Spishi ya Asia na Australia

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads