Kiganda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kiganda (pia Luganda) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Waganda. Mwaka wa 2002 idadi ya wazungumzaji wa Kiganda imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne.

Ukweli wa haraka Kiganda Luganda (lg), Lugha ...

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiganda kiko katika kundi la J10.

Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiganda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads