Waganda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Waganda (wao hujiita Baganda) ni kabila kubwa la Uganda likiwa na asilimia 16.9 za wakazi wote wa nchi hiyo.

Ufalme wao (Buganda) unaongozwa na mfalme anayeitwa Kabaka na unaenea katika Mkoa mzima wa Kati.
Ufalme huo ulikubali ulinzi wa Uingereza mwaka 1894 chini ya Mwanga II.
Lugha yao inaitwa Kiganda (wao wanasema: Luganda) na ni kati ya lugha za Kibantu.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads