Kijerumaniki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lugha za Kijerumaniki ni kikundi cha lugha zenye asili ya Ulaya ya Kaskazini. Lugha za Kijerumaniki zenye wasemaji wengi ni Kiingereza (milioni 380) na Kijerumani (milioni 120). Lugha nyingine za Kijerumaniki ni lugha za Skandinavia, halafu Kiholanzi na Kiafrikana wa Afrika Kusini. [1]
Historia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads