Kikaboverde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kikaboverde (kwa Kiingerezaː Cape Verdean Creole) ni lugha ya funguvisiwa la Kabo Verde[1] inayotumiwa na watu 871,000 hivi[2].
Ni krioli iliyotokana zamani na Kireno (na lugha mbalimbali za Afrika Magharibi) na kuendelea kutumika hadi leo, kirefu kuliko Krioli nyingine yoyote[3].
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads