Kilimatinde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kilimatinde ni makao makuu ya tarafa mojawapo ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata yenye jina hilo ilikuwa na wakazi wapatao 5,663 waishio humo. [1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads