Kindi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kindi ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Msimbo wa posta ni 25212.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 34,045 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,391 [2] walioishi humo. Wakazi hao hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo uuzaji na unuuzi wa ndizi, viazi,maparachichi.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads