Kinole

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kinole
Remove ads

Kinole ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67202.

Thumb
Maporomoko ya maji katika milima ya Uluguru karibu na Kinole.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,356 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,944 [2] walioishi humo.

Kwa jumla watu wa Kinole ni wakarimu sana. Wengi wao walikuwa wakitokea Amini: ndio walioanzisha jina la Kinole ambalo limetokana na jiwe la kunolea panga, visu na mundu.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads