Kipe Kitu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kipe Kitu
Remove ads

"Kipe Kitu" ni wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, G.W.M. Wimbo umetayarishwa na Bonny Luv ndani ya Mawingu Studio. Wimbo huu ulitoka mwaka 1996, wa pili kutolewa baada ya Cheza Mbali na Kasheshe. Moja kati ya nyimbo za miaka ya 1990 zilizobamba kupita maelezo. Hata kwa GWM walionekana tishio hasa kwa vijana kutoka Temeke. Wimbo unatoka katika albamu ya Mikosi.

Ukweli wa haraka Umetolewa, Umerekodiwa ...
Remove ads

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads