Kivukoni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kivukoni
Remove ads

Kivukoni ni kata mojawapo ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 11101[1].

Thumb
Ramani ya eneo la Kivukoni.
Thumb
Soko la samaki huko Kivukoni.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,045 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,826 waishio humo.[3]

Katika kata hii iko sehemu ya kihistoria ya Dar es Salaam ya zamani za ukoloni, ikiwa pamoja na makanisa ya kipindi cha mwanzoni mwa umisionari, kama vile kanisa la Mtakatifu Joseph na kanisa la Azania Front.

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads