Kointa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kointa (kwa Kilatini: Quinta; alifariki Aleksandria, 249 hivi) alikuwa mwanamke bikira wa Misri, ambaye alifia imani ya Kikristo muda mfupi kabla ya dhuluma ya kaisari Decius.

Kwa kuwa alikataa kuabudu miungu aliyoichukia, alifungwa miguu na kuburuzwa kikatili katika barabara wa mji huo [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Februari[2][3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads