Konlaedo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Konlaedo (kwa Kikelti: Collaid, Condlaedh, Conlaeth, Conlaidh, Conleo, Conliad, Conlian, Connlaed; 450 hivi - Kildare, 519 hivi) alikuwa mkaapweke nchini Ireland, halafu mshirika wa Brid wa Kildare katika kuendesha monasteri zake, ikiwemo ile maarufu ya Kildare[1]. Hatimaye akawa askofu wa kwanza wa eneo hilo[2].

Tangu kale anahesabiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads