Korentino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Korentino (pia: Kaourintin, Corentin; 375 hivi - 12 Desemba 453) kadiri ya mapokeo, alikuwa askofu wa kwanza wa Quimper (Bretagne [1].

Habari zake zinapatikana katika Maisha ya Mtakatifu Korentino yaliyoandikwa miaka 1220-1235.
Baada ya kuwa mkaapweke huko Plomodiern, mfalme Gradlon aliamua kuanzisha jimbo huko Quimper akamteua Korentino awe askofu wa kwanza. Hivyo akamtuma Tours apewe daraja takatifu na Martino.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads