Kostanso wa Ancona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kostanso wa Ancona (alifariki katika karne ya 5) alikuwa mtawa wa mji huo wa Italia ya Kati[1].

Papa Gregori I aliandika juu yake akimsifu kwa karama ya kutenda miujiza, lakini zaidi kwa unyenyekevu wake mkubwa.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads