Kungari

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kungari
Remove ads

Kungari (pia: Cyngar, Cumgar, Cungar, Congar, Kongar, Congard, Concarius; 470 hivi – 520 hivi) alikuwa abati na labda askofu wa Britania ambaye jina lake linatumika kwa makanisa na mahali pengi hadi Bretagne (Ufaransa), lakini pengine kwa kumchanganya na somo wake hadi watatu tofauti [1].

Thumb
Sanamu yake huko Somerset.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads