Klaro wa Vienne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Klaro wa Vienne (kwa Kifaransa: Saint Clair de Vienne au Clair du Dauphiné; alifariki 660 hivi) alikuwa abati wa monasteri huko Vienne, katika Ufaransa wa leo, aliyewapa wamonaki wenzake kielelezo cha ukamilifu wa kitawa [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X mwaka 1903.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads