Wilaya ya Lamu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Lamu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa Lamu mjini.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Lamu.
Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa la Lamu.
Eneo la wilaya lilikuwa km² 6,167 na idadi ya wakazi 72,686 [2]. Wenyeji ni hasa Wabanjuni.
Kuna misitu ya mikoko ufukoni.
Wilaya ilikuwa inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads