Lazaro Devasahayam Pillai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lazaro Devasahayam Pillai (23 Aprili 1712 - 14 Januari 1752) alikuwa Mkristo wa India aliyefia dini yake nchini mwake kwa kukataa kurudia dini ya Uhindu[1][2].
Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 2 Desemba 2012 halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 14 Januari[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads